Back to home

Shirika la kibinfasi lajenga ghala la kuhifadhi mbegu halisi kuzalisha chakula Turkwel

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
4h ago
Kama njia moja ya kuhakikisha utoshelevu wa chakula katika kaunti ya Turkana haswa wakati wa ukame, shirika la Seed savers network kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Turkana imeanzisha mradi wa ujenzi wa maghala ya kuhifadhi mbegu za kiasili ambazo zitakuwa zikitumika na wa