Back to home

Madaktari waonywa dhidi ya kuelekeza wagonjwa hospitali za kibinafsi kauti ya Tharaka Nithi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
4h ago
Madaktari wa kaunti ya tharaka nithi wameonya wakaazi dhidi ya kuelekeza wagonjwa kutoka hospitali za umma hadi hospitali za kibinfasi kwa kisingizio kuwa hospitali za umma zinatoa huduma duni.