Back to home

Wazee katika kaunti ya Nandi wapanga kufanya tambiko baaada ya jiwe kupasuka

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
4h ago
Baadhi ya wazee wa jamii ya Talai katika kijiji cha Samitui eneo bunge la Aldai katika kaunti ya Nandi, wanaishi kwa hofu kubwa baada ya jiwe linalosemekana kuwa lilitumiwa na kiongozi wa jamii hiyo miaka ya ukoloni Kimnyolei Arap Turgat kupasuka.