Back to home
Mgogoro wa kituo cha mafunzo ya kidini watatuliwa Garissa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
4h ago
Mgogoro kuhusu usimamizi wa kituo cha mafunzo cha kidini cha Quba katika mji wa Garissa uliosababisha kituo hicho kufungwa na kamati ya usalama ya kaunti hiyo mwezi jana sasa umetatuliwa.