Back to home

Ujenzi wa eneo la forodha suam

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
4h ago
Serikali hatimaye imemlipa mwanakandarasi anayejenga kituo cha forodha cha Suam, Kaunti ya Trans Nzoia, ili kupunguza msongamano wa magari kwenye mpaka wa Kenya na Uganda. Kukamilishwa kwa barabara kuu ya Kitale kuelekea Uganda kunalenga kuimarisha uchukuzi baina ya nchi hizi mbi