Back to home

Kaunti ya bungoma imeshuhudia visa vya wizi vikiongezeka

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
4h ago
Serikali ya kitaifa hasa idara ya usalama itashirikiana kwa karibu na serikali ya kaunti ya bungoma ili kuhakikisha visa vya wizi wa vifaa vya shule za chekechea vinadhibitiwa.