Back to home

Wahadhiri watishia mgomo wa kitaifa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 10, 2025
3h ago
Muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini (UASU) umetoa ilani ya siku saba ya kuanza mgomo katika vyuo vikuu 41 vya umma kote nchini. Uasu inailaumu serikali kwa kushindwa kutekeleza makubaliano ya pamoja ya nyongeza ya mishahara. Wahadhiri wanadai malimbikizi ya tangu mwaka wa