Back to home
Kilimo Biashara: Viazi vipya kuwanufaisha wakulima
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
4h ago
Wanasayansi wanaendeleza uzalishaji wa viazi vya kisaki au vile ambavyo vimeboreshwa kijenetiki ili kuwapunguzia wakulima wa viazi gharama inayosababishwa na ugonjwa wa kuvu. Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo (KALRO) huko Muguga, kaunti ya Kiambu linaendeleza kilimo cha via