Back to home
Kongamano la msongo wa mawazo kwa watoto Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
4h ago
Kongamano la pili kuhusu msongo wa mawazo kwa watoto na vijana linang'oa nanga rasmi hii leo huko mombasa. Kongamano hilo linalenga kuweka mikakati na suluhu za kupunguza visa hivyo katika jamii.