Back to home

Kasisi ashtakiwa kwa madai ya kumdhulumu mtoto Bomet

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
3h ago
Kasisi kutoka parokia ya Mugango kaunti ya Bomet kwa jina John Paul hapo jana alifikishwa katika mahakama ya Bomet kujibu mashtaka ya kumdhulumu mwanafunzi wa gredi 8 mwenye umri wa miaka 14 akiwa na mama wa kijana huyo kama mshtakiwa mwenza...