Back to home

| Maskani | Miaka 3 ya Ruto : Jinamizi la ufisadi [Part 2]

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
3h ago
Rais aliteua jopo la wataalamu 14 kushughulikia ufisadi EACC inasema ODPP imeondoa kesi 18 tangu mwaka wa 2013 Magavana 11 wa zamani wanachunguzwa na tume ya EACC Magavana 5 wa sasa wanachunguzwa kwa ufisadi EACC inamlaumu mkurugenzi wa mashtaka kwa kulemaza kesi