Back to home
Mashirika ya kutetea haki yataka waathiriwa walipwe fidia
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
7h ago
Mashirika ya kutetea haki za binadamu sasa wanataka shirika la uhifadhali wanyama pori KWS kufidia familia waliopoteza maisha yao kupitia mashambulizi ya wanyama wao katika kaunti ya Tana River.