Back to home
Kamati ya bunge kuhusu utekelezaji wa sheria inanuiya kuboresha mazingira ya maafisa na wafungwa
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 11, 2025
2h ago
Katika juhudi za kuimarisha huduma za magereza nchini, Kamati ya Bunge kuhusu Uangalizi na Utekelezaji wa Katiba ikishirikiana na Naibu Kamishna wa Magereza, imefanya ziara ya kikazi katika magereza ya Malindi na Kilifi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news