Back to home

Polisi wachunguza mauaji ya wakili Mbobu, wahoji mashahidi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
2h ago
Watu wawili waliokutana na wakili mathew kyalo mbobu dakika chache kabla ya mauaji yake wamehojiwa na polisi. Makachero wanachunguza baadhi ya picha za cctv zilizonasa matukio muda mfupi kabla ya wakili huyo kuuwawa. Aidha wanalalamika kuwa kamera nyingi za cctv katikati mwa jiji