Back to home
Wakaazi wa Mwea wapinga vikali vitisho vya kufurushwa kutoka kwa ardhi ya Makima
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Wakazi wa Mwea katika Kaunti ya Embu wamepinga vikali vitisho vya kufurushwa kutoka kwa ardhi ya Makima, wakidai kuwa vitisho vinatolewa na watu wanaojitambulisha kama wazee wa ukoo wa Ngome kutoka jamii ya Mbeere.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today