Back to home
Tabasamu ya walimu baada ya kukutana na Rais Ruto
video
C
Citizen TV (Youtube)September 13, 2025
2h ago
Walimu hii leo wameondoka katika ikulu ya nairobi wakiwa na tabasamu baada ya mkutano na Rais William Ruto ambapo Rais alitangaza nyongeza ya mgao wa fedha za kuwapandisha vyeo. Walimu elfu hamsini zaidi sasa watapandishwa vyeo kutoka elfu ishirini na tano waliopangiwa kila mwaka