Back to home
Miaka mitatu ya Ruto: Mafanikio na changamoto sekta ya kilimo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 14, 2025
2h ago
Sekta ya kilimo ndio uti wa uchumi wa taifa na bila shaka huathiri mengi kwa wakenya na haswa wakulima. Iwe upanzi wa mahindi au hata uzalishaji wa kahawa, sekta hizi bado zinasimulia chagamoto licha ya matumaini ya serikali kuwa hali imeendelea kubadilika.