Back to home

Polisi wanaendelea kuwasaka washukiwa wa wizi Malindi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
1h ago
Maafisa wa polisi katika gatuzi dogo la Malindi wameendelea na msako dhidi ya magenge ya wahalifu na kufanikiwa kuwanasa washukiwa wengine 43 wa magenge hayo. Taarifa ya polisi imeeleza kuwa msako huo unafuatia ziara ya kamanda wa polisi eneo la Pwani Ali Nunow katika eneo hilo n