Back to home

Wakazi wa Lamu wakashifu hatua ya kukatazwa kukarabati msikiti

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
2h ago
Wakazi katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wamekashifu kitendo cha kukatazwa kuujenga upya msikiti wa Anisa ambao ulijengwa zaidi ya miaka 200 na makavazi ya Lamu. Inaarifiwa kuwa msikiti huo uko ndani ya majengo na sehemu iliyohifadhiwa na UNESCO kama turathi za kimataifa na h