Back to home
Wanawake wahimizwa kuwania nafasi za uongozi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 15, 2025
2h ago
Kongamano la wanawake lililoandaliwa hapa jijini nairobi liliwaleta pamoja viongozi wa kanisa na wanajamii kujadili nafasi ya mwanamke katika safari ya maendeleo ya Kenya.
Waziri wa Jinsia Hannah Cheptumo aliwahimiza wanawake kuhakikisha wamenufaika na miradi ya serikali, hususa