Back to home

| UKUMBI | Ruto @3 | Mizani ya haki [Part 1]

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
2h ago
Tunajadili haki kwa wakenya katika miaka mitatu ya Ruto Kumeshuhudiwa mauaji ya kiholela na ukatili wa polisi Je, serikali ya Kenya Kwanza inajali maslahi ya Wakenya? Baadhi ya waandamanaji wamesalia korokoroni wakidai haki Waandamanaji wengine wangali wanauguza majeraha ya ris