Back to home
Mkewe naibu rais awahimiza Wakenya kupanda miti kwa wingi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 15, 2025
1h ago
Mkewe naibu rais daktari Joyce Kithure, amewahimiza wakenya kuendelea kupanda miti ili kulinda mazingira dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi.