Back to home
Wazazi wahimizwa kuwalea wana wao kwa misingi ya kidini
video
C
Citizen TV (Youtube)September 15, 2025
2h ago
Wazazi katika kaunti ya Busia wamehimizwa kuwalea wana wao katika msingi wa kidini, kama njia ya kukabiliana na dhuluma katika familia.
Visa vya dhulma za kijinsia vinazidi kushuhudiwa katika kaunti ya Busia eneo bunge la Nambale likiongoza.
Wanandoa wametakiwa kutafuta ushauri