Back to home

Mwanaume akamatwa kwa madai ya kumuua mwanawe Sotik

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
1h ago
Mwanamume Mmoja kutoka Kijiji Cha Kipsarwet Katika wadi ya Rongena Manaret iliyoko eneo bunge la Sotik Kaunti ya Bomet anazuiliwa katika kituo cha polisi Cha Chebilat kwa madai ya kumuua mwanawe.