Back to home
Barabara kadhaa za mashinani zakarabatiwa Taita Taveta
video
C
Citizen TV (Youtube)September 15, 2025
2h ago
Ni afueni kwa wakazi wa Makwasinyi eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali ya kitaifa kuanza kukarabati barabara ya Kiteghe hadi Bungule ambayo imekuwa katika hali mbaya.
Mbunge wa Voi Khamisi Chome anasema barabara za mashinani zimekuwa hazipitiki hasa wakati