Back to home

Vijana wataka serikali ikomeshe dhuluma za kijinsia

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
1h ago
Serikali imetakiwa kukaza kamba katika jitihada za kukabiliana na visa vya mauaji ya wanawake ikiwemo dhulma za kijinsia ili kuepuka ongezeko la visa hivyo miongoni mwa vijana