Back to homeWatch Original
Makala: Visa vya dhulma za kijinsia vyaongezeka Tana River
video
September 7, 2025
19h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waathiriwa wa dhuluma za kijinsia na kimapenzi huko Tana River wanaendelea kuhangaika kila uchao. Na sio tu kutokana na dhuluma wanayopitia bali kwa kukosa usaidizi wa kutosha. Kaunti hiyo ni miongoni mwa zile zenye visa vingi zaidi vya dhuluma vinavyoripotiwa huku kiangazi na ma..