Back to home
Walimu wasema IEBC ina njama ya kuwazuia kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 15, 2025
2h ago
Vyama vya kisiasa zaidi ya 50 vimeitoa onyo kali kwa tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini -IEBC, wakilaumu tume hiyo kwa kuwa na njama ya kuwazuia kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday