Back to home

Katibu Alex Wachira atetea rais Ruto, akisema ameimarisha uchumi wa taifa

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 15, 2025
2h ago
Wandani wa rais Ruto wameendelea kutetea maendeleo ya serikali kwa miaka mitatu iliyopita tangu waingie mamlakani. Katibu katika wizara ya kawi Alex Wachira, anasema kuwa uchumi umeimarika huku bei za vyakula zikishuka na bei ya mazao ya shambani kama vile kahawa kupanda . Subsc