Back to home

Babake kiongozi wa wengi bungeni azikwa Gikambura, Kiambu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
2h ago
Mzee Isaac Ichung'wa Ngugi ambaye ni babake kiongozi wa wengi bungeni, na ambaye ni mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung'wa anazikwa leo nyumbani kwake Gikambura kaunti ya Kiambu. Rais William Ruto na viongozi wengine wakuu wa serikali wanahudhuria mazishi hayo.