Back to home
Francis Mwangangi apuuzilia mbali mikutano ya ikulu inayohudhuriwa na wanasiasa
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 15, 2025
2h ago
Naibu gavana wa Machakos Francis Mwangangi amepuuzilia mbali mikutano ya ikulu inayohudhuriwa na watu tofauti wakiwemo wanasiasa; mkutano wa hivi majuzi ukiwa wa walimu elfu kumi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. G