Back to home

Kaunti ya Migori kuendeleza uwekezaji katika masuala ya kidijitali

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Kaunti ya Migori imepiga hatua kubwa katika safari yake ya kukumbatia mabadiliko ya kidijitali kwa kuzinduliwa rasmi kwa Maabara ya kisasa ya Mfumo wa Taarifa za Kijiografia (GIS).