Back to home

Kampuni ya maji ya Nakuru yatia saini mkataba wa ushirikiano na wafanyakazi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Kampuni ya kusambaza maji jijini Nakuru, NAWASCO, imetia sahihi mkataba wa ushirikiano kati yake na muungano mpya wa wafanyakazi wa sekta ya maji katika kaunti ya Nakuru, Waswu