Back to home
Vikundi zaidi ya 20 vya wakulima vyapewa ruzuku ya kuanzisha sacco Kitui
video
C
Citizen TV (Youtube)September 16, 2025
2h ago
Vikundi zaidi ya 20 vya wakulima kutoka kaunti ya Kitui vipew ruzuku ta zaidi ya shilingi million 15 na serikali ya Kitui ili kuviwezesha kuunda mashirika ya akiba na mikopo.