Back to home
Meneja wa hospitali wapewa mafunzo ya usimamizi Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)September 16, 2025
2h ago
Wasimamizi wa hospitali zote kuu za Kajiado wamepokea mafunzo ya siku nne ambayo yanalenga kuwapa ujuzi wa kuimarisha namna ya kupata mapato zaidi ambayo yatasaidia kuimarisha utoaji wa hudumu kwenye hospitali hizo