Back to home

Wanariadha zaidi ya 150 kutoka kaunti kumi wanashiriki michezo ya walemavu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Wanariadha zaidi ya 150 kutoka kaunti kumi wenye mahitaji maalum wanashiriki mchujo wa siku mbili wa kitaifa uwanjani ulinzi complex ulioanza asubuhi ya leo.