Back to home

Walemavu kaunti ya Nandi wasema hawajanufaika na katiba mpya

video
August 29, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakati taifa la Kenya linaendelea kuadhimisha miaka 15 tangu kuidhinishwa kwa katiba mpya,Watu wenye ulemavu kaunti ya Nandi wamesema kuwa hawajafurahia matunda yake kwa kikamilifu..