Back to home

Bunge la Seneti lasikiliza hoja ya kumtimua gavana Mutai kwa siku ya tatu [ Part 1]

video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mjadala wa hoja ya kubanduliwa kwa gavana wa Kericho Dkt. Eric Mutai inaingia siku ya tatu leo. Hapo jana, wawakilishi wadi walijikakamua kuwashawishi Maseneta kumfurusha gavana huyo ofisini, wakidai amepora mali ya umma na kutumia mamlaka yake vibaya..