Back to homeWatch Original
Mahakama yasitisha ujenzi wa nyumba za ibada Ikulu
video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hakuna ujenzi wowote wa kanisa la kudumu au hata maeneo ya ibada unaoweza kuendeshwa katika ikulu kwa sasa. Hii ni baada ya Mahakama kusitisha ujenzi wa maeneo haya ya ibada pia kwenye ikulu ndogo nchini..