Back to home

Barabara ya Kaongo Imenti ya kati kaunti ya Meru imejaa mashimo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Wakazi Wanaotumia Barabara ya Kaongo, ilioko Eneobunge la Imenti ya Kati, Meru Wameelezea hofu yao kutokana na hali duni ya Barabara hiyo ambayo imechimbika na kupata Mitaro Mikubwa .