Back to home

Viongozi wa kidini wataka Bunge kuondoa sheria ya kujiua

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Baraza la kidini la kenya limetoa wito kwa bunge la kitaifa kuharakisha kufuta sheria ya kujiua, likisema hatua hii itasaidia kupunguza matatizo ya afya ya akili.