Back to home
Mahakama yakataa kesi ya ufisadi kuondolewa na kutaka kukamatwa kwa Waziri Oparanya
video
C
Citizen TV (Youtube)September 16, 2025
3h ago
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu sasa wanataka kukamatwa kwa Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kuwa mkurugenzi mkuu wa mashtaka alikiuka sheria kusitisha kesi dhidi yake.