Back to home
Uchunguzi wa mauaji katika uwanja wa Talanta
video
C
Citizen TV (Youtube)September 16, 2025
3h ago
Matokeo ya uchunguzi wa maiti ya mfanyakazi wa ujenzi katika uwanja wa Talanta hapa Nairobi yameonyesha kuwa alikufa maji na pia majeraha mabaya kichwani. Sammy Kyengo, aliripotiwa kupotea mapema mwezi huu ndani ya Uwanja huo wa Talanta, kabla ya mwili wake kupatikana wiki moja b