Back to home
Afisa wa DCI awapiga risasi watu 4 Bungoma
video
C
Citizen TV (Youtube)September 16, 2025
3h ago
Maafisa wa polisi Kaunti ya Bungoma wameanzisha uchunguzi wa tukio ambapo afisa wa upelelezi wa DCI aliwapiga watu risasi alipokuwa akitoa ushahidi mahakamani kuhusiana na kesi ambayo amekuwa akichunguza.