Back to home

Shughuli za kiwanda cha karatasi Webuye zinaendelea vyema

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2025
3h ago
Kamishna wa ukanda wa magharibi ya kenya Irungu Macharia amewataka wanasiasa na watu wenye hila mbaya kukoma kueneza porojo kwamba kiwanda cha karatasi cha panpaper hakifanyi kazi.