Back to home
Wakazi wa maeneo ya Gusii wajadili mustakabali wa eneo hilo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 17, 2025
3h ago
Miungano ya wafanyakazi Kisii, wataalamu , mawakili pamoja na viongozi wa makanisa wanafanya mkutano maalum mjini Kisii kujadili mustakabali wa eneo la Gusii. Hafla hiyo pia ikitumika kuwaonya wanasiasa wanaoeneza siasa za migawanyiko na fujo .