Back to home
Jaji wa mahakama ya rufaa Fredrick Andago amefariki
video
C
Citizen TV (Youtube)September 17, 2025
2h ago
Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Fredrick Ochieng’ Andago, amefariki. Kifo chake kimegubika huzuni kubwa katika Idara ya Mahakama, ambapo alikuwa akihudumu katika Mahakama ya rufaa. Jaji Ochieng’ anakumbukwa kama kiongozi