Back to home

Wakazi wa Kambito na Mnaoni katika kaunti ya Taita Taveta wafaidika na umeme

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
1d ago
Ni afueni kwa wakazi wa Kambito na Mnaoni eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali kupitia wizara ya kawi kuanzisha mpango wa kuwasambazia umeme.