Back to home

Jamaa apigwa risasi na kuaga Makindu

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 19, 2025
1h ago
Jamaa na marafiki wa Samuel Mutua Mulwa mwenye umri wa miaka 56 inalilia haki. Mulwa anadaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi na kufariki akipelekwa hospitali ya Makindu inalilia haki kwa mpendwa wao aliyefariki . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today