Back to home

Gavana Wavinya Ndeti awatuza wasimamizi bora wa idara

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti amepongeza idara tatu za kaunti kwa utendakazi bora katika mwaka wa kifedha wa 2024/2025.